HILI NI MOJA LA HIP HOP COLABO LINALOWASHIRIKISHA VIJANA WADOGO WANAOFANYA VIZURI KWENYE HIP HOP HAPA TANZANIA NGOMA IKIWA INAITWA NIMEKASIRIKA IKIWA NI TRACK YA HAMIDU AMBAYE HIVI KARIBUNI ALIPATA MKASA WA KUIBIWA GARI YEYE NA HADIJA KOPA LAKINI KOTOKANA NA KUHANGAIKA NA KUSAIDIANA NA USALA WA NCHI AMEFANIKIWA KULIPATA GARI LAKE!!
No comments:
Post a Comment