Friday, August 9, 2013

NEW SONG OF KINGKAPITA FT. NIGERIAN STARS


KUTOKA CHAKA....MZIGO MPYAAA....UJIO MPYA KABISAA...HIT MAKER MZEE WA MISEMO KUTOKA KUNATATIZO KWANI MPAKA NIGERIA NYIMBO IMEFANYWA NA STUDIO MBILI KUBWA TANZANIA NA NIGERIA - KASEMA POA NDO JINA LA NYIMBO AKISHIRIKIANA NA WA NIGERIA DJ MKUBWA NIGERIA NA NI ARTIST PIA AKIITWA DJ KALITO NA MOJA YA MEMBER WA FUSE OG AKIITWA RYDER BOONGE LA NGOMA NA CLUB BANGER SASA TUNAIMBA NA KUCHEZA WOTE KAMWAMBIENI YULE MTOTO MZURI KASEMA POA YANII SHE SAY YEAHHHH...SIKILIZA HUU HAPA UKISHASIKILIZA SHARE NA WENZAKO SUPPORT YENU  

NYIMBO NYINGINE HIT ZILIZOPO HEWANI1.SHIKAMOO PESA
2.KUNATATIZO KWANI NA SASA ANAWALETEA
3.KASEMA POA KINGKAPITA NI MMOJA KATI YA WASANII WALIOANZISHA KUND LA WAKACHA LAKINI SASA YUPO SOLO KAMA HIVO ANAOMBA SUPPORT YENU SANAAA 

Tuesday, June 18, 2013

KINGKAPITA ANARUDI TENA NA NGOMA MPYA SOON ANAACHIA MPO TAYARI???

YULE MSANII KINGKAPITA AMBAE ANAFANYA VIZURI NA NYIMBO YA KUNATATIZO KWANI?? ALIOMSHIRIKISHA GODZILLA SASA HABARI ZILIZOTOKA KWA MANAGEMENT YAKE ANAJITAYARISHA KUACHIA NYIMBO MPYA MUDA WOWOTE KWANZIA SASA ALIKUA ANASUBIRI KWANZA KWA HESHIMA YA LEGEND WALIOTANGULIA NGWEAR NA LANGA WAZIKWE SALAMA NA HESHIMA
HALAFU NDO AACHIE KIBAO CHAKE KIPYA



Sunday, April 14, 2013

NAS 3 FT. CHIBWA - SINA MUDA NDO NGOMA INAYOFANYA POA MJINI


BAADA YA PROJECT KADHAA NA KINGKAPITA KAMA MTOTO MLITO,ACHAA NA NILIKOSEA WAPI  SASA NAS 3 KAJA SOLO NA NYIMBO ALIOMSHIRIKISHA CHIBWA BOONGE LA CHORUS NA SONG AKIWA AMESIGN NEW LABEL KWA MSWAKI MABEAT 
...NAS 3 ANAOMBA SUPPORT YENU WADAU
NYIMBO YENYEWE HII HAPA SINA MUDA

Thursday, April 11, 2013

KINGKAPITA FT. GODZILLA VIDEO - KUNATATIZO KWANI NDO VIDEO GUMZO MTAANI

HIT MAKER KINGKAPITA TOKA TANZANIA TENA NA TENA KATIKA UJIO MPYA NYIMBO ALIOFANYA NA GODZILLA KUTOKA STUDIO YA DEFATALITY PALE KWA MESSEN SELEKTA

NYIMBO INAITWA "KUNATATIZO KWANI"

HII SASA NDO VIDEO YAKE AMBAYO INAPATIKANA YOUTUBE KWA SASA KWA LINK HII
  
IKIWA IMEBEBA LINE KALI ZA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA JAMII KAMA :
"BABA JAMBAZI MAMA CHANGUDOA MTOTO KAZALIWA KONDA OTEA NINI KITAFATIIA//"
//HII BAHATI HAIZIMWI KWA MIDOMO FORM SIX ALIPATA ZIRO NA LEO NDO BOSS WAO//
                                   "KUNATATIZO KWANI"
HAPO NI KATIKA KUWAPA MOYO WOTE WALIOPATA MATATIZO KWENYE KUTAFUTA WAKA FAIL WASIKATE TAMAA NA MAISHA BADO YANAWEZEKANA PIA KUNA LINE KAMA
       //MI MKRISTO WEWE MWISLAM HAIJALISHI DINI GANI TUDUMISHE HII AMANI//
                                    "KUNATATIZO KWANI"
 HAPO NIKIWA NAELEZEA KUHUSU MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII TANZANIA BARA NA ZANZIBAR

KINGKAPITA ANANYIMBO HIT NYINGINE NYINGI KAMA:
1.MTOTO MLITO
2.MTOTO WA FISADI
3.SHIKAMOO PESA
NA SASA NAOMBA MSIKILIZE 4. KUNATATIZO KWANI IKIWA KAMA MSEMO MPYA KATIKA JAMII ETI KUNATATIZO KWANI???


KAZI NJEMA ASANTENI!!!!

LINK YA HULKSHARE HII HAPA http://www.hulkshare.com/n8iouqb6fbi8 KWA AJILI YA KUSIKILIZA NA KU DOWNLOAD

Thursday, October 25, 2012

SHIKAMOO PESA - KINGKAPITA FT. TASH

ANAITWA KINGKAPITA ZAMANI ALIFAHAMIKA KAMA RICHBOI AMBAE NI MWANAMZIKI WA BONGO HIPHOP ALIEWEZA KUFANYA VIZURI KATIKA NGOMA KAMA YA HERE WE GO AKIWA NA WAKACHA IKIWA NA WASANII KAMA JUX,NAS 3,GIGGA FLO NA KID,PIA NA HIT TRACK ACHAAA ALIO IMBA NA NAS 3 BAADAE HIT INAYOKWENDA KWA JINA LA MTOTO MLITO ALIOIMBA NA NAS 3 WAKIMSHIRIKISHA RICH MAVOCO SASA ANAKUJA TENA NA NGOMA KALI YA MWAKA!!
ARTIST: KINGKAPITA
SONG:SHIKAMOO PESA
FEAT:TASH
STUDIO:ROCCANA BASEMENT
PRODUCER: JIMMY JIZZE& TRAVELLER
ANAOMBA SUPPORT YENU SIKILIZA IO NYIMBO HAPO CHINI

Sunday, October 7, 2012

ROZAY in FIESTA @ LEADERS






Rozay boss akuamini kwamba Tzee wanamkubali sana katika ngoma zake kwani msanii huyu kipindi pale alipotumia beat na huku akiwaachia mashabiki waimbe ndipo akaamini kwamba Tzee wana mchango mkubwa sana katika muziki wake.hapo ilikuwa ni Tamasha la Serengeti Fiesta katika uwanja wa Leaders Club usiku wa kuamkia leo.
 Baada ya mtu mzima Rozay kumaliza kupiga show yake basi burudani ziliendelea kama kawaida kama unavyoona katika stage hapo msanii anayefahamika na ngoma ya Marry me huyu si mwingine ni Rich mavoco akionyesha vitu vyake katika stage ya Serengeti Fiesta jijini Dar es Salaam usiku wakuamkia leo.
 Wakazi wa Dar wakishuhudia Tamasha la Serengeti Fiesta katika viwanja vya Leaders Club usiku wa kuamkia leo
Ni moja kati ya wasanii ambao walionyesha muonekana mpya na burudani ile ile katika Tamasha la serengeti fiesta katika viwanja vya Leaders club usiku wa kuamkia leo.
                                                                    Barnaba
 Msanii wa kizazi kipya akitoa burudani kwa wakazi wa Dar es Salaam katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo maeneo ya Leaders club.
Shetta akikamua katika stage ya Fiesta Serengeti katika viwanja vya Leaders club usiku wa kuamkia leo.
 Diamond wa wasafi akionyesha vitu vyake katika stage ya Serengeti Fiesta jijini Dar es Salaam usiku w kuamkia leo katika viwnja vya Leaders club.
Dina marios wa leo tena naye alikuwa ni moja kati ya watu ambao walikuja katika Tamasha la Serengeti Fiesta kuona muonekano mpya,burudani ile ile kutoka kwa mtu mzima Rozay Boss.
Mimi fetty fetilicious pembeni niko na B Twelve na Muli B hatuna tatizo na mtu kabisa yaani bariiidaaahhh!!!!!!!!!!!!!!!!! fanya utakavyoo weweeee.
 Raymond Mshana ndani ya Serengeti Fiesta dzain kama anaamua kuweka swagga nzuri kabisa hallaa!!!!!
                               Fid Q akionyesha vitu vyake katika stage ya Serengeti Fiesta
Msanii wa kizazi kipya huyu si mwingine anajulikana kwa jina la Recho akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kumkia leo.
                                                                          Godzilla
   Antu mandoza ni moja kati ya watu ambao walikuwepo katika Tamasha la Serengeti Fiesta ktika viwanja vya Leader club jijini Dar es Salaam.
Ni moja kati ya wasanii ambao walitoa burudani nzuri kabisa katika Tamasha la Serengeti fiesta jijini Dar es Salaam.

 Mzee wa mduara akionyesha mambo yake katika stage ya Serengeti Fiesta jijini Dar es Salaam.

Tuesday, September 18, 2012

MANUVA BOONGE MOJA LA VIDEOO BY JOH MAKINI

JINA :: PANCHITO DEL MACHINE
U RAIA:: MTANZANIA FROM SWEDEN
VIDEO PRODUCTION NAME:: ALLIANCE VISION
LOCATION:: MIKOCHENI B
TEL:: +255757610567
VIDEO ALIZOFANYA MPAKA SASA::
MTOTO MLITO VIDEO BY KINGKAPITA NA NAS 3, KIUNO YA T.I.D NA NGWEAR
J_LOVE -KUSAMEHEANA NA MDOGO MDOGO YA COUNTRY BOI NA TASH NA NYINGINE NYINGI TU SASA LEO NAKULETEA VIDEO MPYA ALIOFANYA YA BEST RAPPA TOKA ARUSHA ANAITWA JOH MAKINI- MANUVA BONGEE LA VIDEO

Sunday, September 2, 2012

USIKU WA M LAB SHOWCASE ZA TAMADUNI MUZIKI


         Stereo akiwapa puncho line mashabiki wake katika uzinduzi wa album yake pamoja na Nikki mbishi jana katika club ya  new msasani jijini Dar es Salaam.
         One incredible naye ni moja kati ya wasanii wanaotokea M lab chini ya producer duke aliwapangawisha mashabiki wake sana katika uzinduzi wa album ya nikki mbishi na stereo baada ya kumwambia Texas azime beat na kuanza kutumia beat ya mdomo.
        Mashabiki walikuwa wana furaha zaidi baada ya kumuona baba marco a.k.a Nikki mbishi katika stage jana maeneo ya msasani club katika uzinduzi wa mixtape pamoja na album kutoka m lab chini ya producer duke jijini Dar es salaam.
                                                                  Nikki mbishi
              Producer Duke akiongea machache na mashabiki wa hip hop waliofika katika uzinduzi huu wa album ya nikki mbishi na stereo jana maeneo ya msasani club jijini Dar es Salaam.
            Crew nzima ya m lab pamoja na producer wao waliamua kupamba stage na kushukuru mshabiki wao walioweza kufika katika uzinduzi wa mixtape pamoja na album ya Nikki mbishi na Stereo katika club new msasani jijini Dar es Salaam.

Friday, August 31, 2012

BEEF ,ABBAS KUBAFF VC RAPPER K-NEL.


                                                                                          
Kama nimfatiliaje mzuri wa habari za mziki Africa Mashariki basi utakuwa na ufahamu kidogo kuhusu Rapper Abbas Kubaff na beef aliyokuwa nayo na Rapper Chiwawa ambayo ilihitimishwa kupitia mashindano ya mitindo huru na mshindi alijulikana .Baada ya beef hiyo Abbas alitulia sana na kurudi na kishindo kupitia wimbo wake wa Tokelezea aliomshirikisha chantelle .Baada ya kukuambia yote hayo fahamu kwamba Abbas Kwa sasa yupo kwenye tour ndefu ulaya na siku chache zilizo pita alifanya show iliyo andaliwa na Rapper K-Nel ,Baada ya show hio Abbas kubaff aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kwa mara ya kwanza toka ameingia Ujerumani kuwa wasanii wawe makini na mapromota feki wanaowapa wasani deal fake na kutowapa pesa zao. Abbas aliendelea kusema kuwa yeye ni msanii wa HipHop kwahio lazima ajilinde yeye kwanza na kusambaza habari hii ni wajibu wake .Hii ndio post ya Abbas Kubaff Kwenye Facebook kuhusu Jambo hili.


Watu walitegemea maneno makali kuhusu Abbas lakini K-Nel aliandika hii kwenye mtandao 

"I LOVE THE NEGATIVE TALK, THE CONTROVERSY SOME FEW HEADS ARE PERPETRATING. AM RELEASING AN OFFIAL VIDEO IN LESS THAN 48 HOURS"
"In my #anglohili World we strongly don't entertain Controversy. Silence is a lethal killer weapon. Let him fight his own war."
 "Before I call it a night, I wanna Thank all those who Been texting me positive messages The Whole Day, ma #anglohili Fans. Am so inspiredddddd!"