Monday, July 30, 2012

YALIOJIRI TANGA EBSS NA 1 AUGUST EBSS NDANI YA DAR

 
Siku ya pili ya usaili wa Zantel Epiq Bong Star Search uliofanyika katika ukumbi wa La Casa Chika jijini Tanga. Majaji wameonekama kufurahishwa na vipaji na kuamua kuchukua watu sita badala ya watano ambao wataenda Dar es salaam kuiwakilisha Tanga. Zaidi ya washiriki 800 walijitokeza katika usaili wa mjini Tanga. Usaili utaendelea tena tarehe 1 mwezi Agosti katika eneo la Coco Beach Dar es salaam.
WASHIRIKI WAKIWA TAYARI KWA VITA NA SILAHA ZAO MIKONONI
 
 WASHIRIKI WAKIWA KWA FOLENI YA KUELEKEA KWA MAJAJI AMBAPO WALIKUA NA KAZINGUMU KWELI KUTOKANA NA VIPAJI
 
MAJAJI WAKIWA SERIOUS NA KAZI KATIKA KUTAFUTA WAWAKILISHI WA TANGA
MSIKILIZE MADAM RITA

No comments:

Post a Comment