Monday, August 20, 2012

CHRIS BROWN NA DRAKE WAMESHTAKIWA NA W.I.P NIGHT CLUB




Chris Brown and Drake Sued

Kwenye mwezi wa sita hivi tarehe 14, kulitokea ugomvi kwenye w.i.p night club new york city na kurushiana vitu pamoja na chupa kwa wasanii wakubwa Marekani, Sasa uongozi wa wa hiyo club imewasue DRAKE na CHRISS BREEZY kiasi cha dolla za kimarekani $16 milion,kwa uharibifu.

No comments:

Post a Comment