Sunday, October 7, 2012

ROZAY in FIESTA @ LEADERS






Rozay boss akuamini kwamba Tzee wanamkubali sana katika ngoma zake kwani msanii huyu kipindi pale alipotumia beat na huku akiwaachia mashabiki waimbe ndipo akaamini kwamba Tzee wana mchango mkubwa sana katika muziki wake.hapo ilikuwa ni Tamasha la Serengeti Fiesta katika uwanja wa Leaders Club usiku wa kuamkia leo.
 Baada ya mtu mzima Rozay kumaliza kupiga show yake basi burudani ziliendelea kama kawaida kama unavyoona katika stage hapo msanii anayefahamika na ngoma ya Marry me huyu si mwingine ni Rich mavoco akionyesha vitu vyake katika stage ya Serengeti Fiesta jijini Dar es Salaam usiku wakuamkia leo.
 Wakazi wa Dar wakishuhudia Tamasha la Serengeti Fiesta katika viwanja vya Leaders Club usiku wa kuamkia leo
Ni moja kati ya wasanii ambao walionyesha muonekana mpya na burudani ile ile katika Tamasha la serengeti fiesta katika viwanja vya Leaders club usiku wa kuamkia leo.
                                                                    Barnaba
 Msanii wa kizazi kipya akitoa burudani kwa wakazi wa Dar es Salaam katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo maeneo ya Leaders club.
Shetta akikamua katika stage ya Fiesta Serengeti katika viwanja vya Leaders club usiku wa kuamkia leo.
 Diamond wa wasafi akionyesha vitu vyake katika stage ya Serengeti Fiesta jijini Dar es Salaam usiku w kuamkia leo katika viwnja vya Leaders club.
Dina marios wa leo tena naye alikuwa ni moja kati ya watu ambao walikuja katika Tamasha la Serengeti Fiesta kuona muonekano mpya,burudani ile ile kutoka kwa mtu mzima Rozay Boss.
Mimi fetty fetilicious pembeni niko na B Twelve na Muli B hatuna tatizo na mtu kabisa yaani bariiidaaahhh!!!!!!!!!!!!!!!!! fanya utakavyoo weweeee.
 Raymond Mshana ndani ya Serengeti Fiesta dzain kama anaamua kuweka swagga nzuri kabisa hallaa!!!!!
                               Fid Q akionyesha vitu vyake katika stage ya Serengeti Fiesta
Msanii wa kizazi kipya huyu si mwingine anajulikana kwa jina la Recho akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kumkia leo.
                                                                          Godzilla
   Antu mandoza ni moja kati ya watu ambao walikuwepo katika Tamasha la Serengeti Fiesta ktika viwanja vya Leader club jijini Dar es Salaam.
Ni moja kati ya wasanii ambao walitoa burudani nzuri kabisa katika Tamasha la Serengeti fiesta jijini Dar es Salaam.

 Mzee wa mduara akionyesha mambo yake katika stage ya Serengeti Fiesta jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment