Friday, August 31, 2012

BEEF ,ABBAS KUBAFF VC RAPPER K-NEL.


                                                                                          
Kama nimfatiliaje mzuri wa habari za mziki Africa Mashariki basi utakuwa na ufahamu kidogo kuhusu Rapper Abbas Kubaff na beef aliyokuwa nayo na Rapper Chiwawa ambayo ilihitimishwa kupitia mashindano ya mitindo huru na mshindi alijulikana .Baada ya beef hiyo Abbas alitulia sana na kurudi na kishindo kupitia wimbo wake wa Tokelezea aliomshirikisha chantelle .Baada ya kukuambia yote hayo fahamu kwamba Abbas Kwa sasa yupo kwenye tour ndefu ulaya na siku chache zilizo pita alifanya show iliyo andaliwa na Rapper K-Nel ,Baada ya show hio Abbas kubaff aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kwa mara ya kwanza toka ameingia Ujerumani kuwa wasanii wawe makini na mapromota feki wanaowapa wasani deal fake na kutowapa pesa zao. Abbas aliendelea kusema kuwa yeye ni msanii wa HipHop kwahio lazima ajilinde yeye kwanza na kusambaza habari hii ni wajibu wake .Hii ndio post ya Abbas Kubaff Kwenye Facebook kuhusu Jambo hili.


Watu walitegemea maneno makali kuhusu Abbas lakini K-Nel aliandika hii kwenye mtandao 

"I LOVE THE NEGATIVE TALK, THE CONTROVERSY SOME FEW HEADS ARE PERPETRATING. AM RELEASING AN OFFIAL VIDEO IN LESS THAN 48 HOURS"
"In my #anglohili World we strongly don't entertain Controversy. Silence is a lethal killer weapon. Let him fight his own war."
 "Before I call it a night, I wanna Thank all those who Been texting me positive messages The Whole Day, ma #anglohili Fans. Am so inspiredddddd!"

No comments:

Post a Comment