Rozay boss akuamini kwamba
Tzee wanamkubali sana katika
ngoma zake kwani msanii huyu kipindi pale alipotumia beat na huku
akiwaachia mashabiki waimbe ndipo akaamini kwamba Tzee wana mchango
mkubwa sana katika muziki wake.hapo ilikuwa ni
Tamasha la Serengeti Fiesta katika uwanja wa Leaders Club usiku wa kuamkia leo.
Baada ya mtu mzima
Rozay kumaliza kupiga show yake basi burudani
ziliendelea kama kawaida kama unavyoona katika stage hapo msanii
anayefahamika na ngoma ya Marry me huyu si mwingine ni Rich mavoco
akionyesha vitu vyake katika stage ya
Serengeti Fiesta jijini
Dar es Salaam usiku wakuamkia leo.
Wakazi wa Dar wakishuhudia
Tamasha la Serengeti Fiesta katika v
iwanja vya Leaders Club usiku wa kuamkia leo
Ni moja kati ya wasanii ambao walionyesha muonekana mpya na burudani ile
ile katika Tamasha la serengeti fiesta katika viwanja vya
Leaders club usiku wa kuamkia leo.
Barnaba
Msanii wa kizazi kipya akitoa burudani kwa wakazi wa Dar es Salaam katika Tamasha la
Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo maeneo ya Leaders club.
Shetta akikamua katika stage ya
Fiesta Serengeti katika viwanja vya
Leaders club usiku wa kuamkia leo.
Diamond wa wasafi akionyesha vitu vyake katika stage ya
Serengeti Fiesta jijini
Dar es Salaam usiku w kuamkia leo katika viwnja vya
Leaders club.
Dina marios wa leo tena naye alikuwa ni moja kati ya watu ambao
walikuja katika Tamasha la Serengeti Fiesta kuona muonekano
mpya,burudani ile ile kutoka kwa mtu mzima
Rozay Boss.
Mimi
fetty fetilicious pembeni niko na
B Twelve na Muli B hatuna tatizo na mtu kabisa yaani
bariiidaaahhh!!!!!!!!!!!!!!!!! fanya utakavyoo weweeee.
Raymond Mshana ndani ya
Serengeti Fiesta dzain kama anaamua kuweka
swagga nzuri kabisa
hallaa!!!!!
Fid Q akionyesha vitu vyake katika stage ya Serengeti Fiesta
Msanii wa kizazi kipya huyu si mwingine anajulikana kwa jina la Recho
akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kumkia leo.
Godzilla
Antu mandoza ni moja kati ya watu ambao walikuwepo katika Tamasha
la Serengeti Fiesta ktika viwanja vya Leader club jijini Dar es Salaam.
Ni moja kati ya wasanii ambao walitoa burudani nzuri kabisa katika Tamasha la Serengeti fiesta jijini Dar es Salaam.
Mzee wa mduara akionyesha mambo yake katika stage ya Serengeti Fiesta jijini Dar es Salaam.